Rais William Ruto aongoza mawaziri wake kutatua matakwa ya vijana katika maandamano

Описание к видео Rais William Ruto aongoza mawaziri wake kutatua matakwa ya vijana katika maandamano

Rais Ruto aongoza mawaziri wake kutatua matakwa ya vijana katika maandamano.

Vijana wanataka Rais kufanya mabadiliko serikalini hasa katika baraza la mawaziri.

Vijana vile vile wanataka mawaziri ambao wamehusishwa na sakata kadhaa kuondolewa.

Mjadala kuhusu ghrama ya serikali, safari nyingi na ufisadi umeshika kasi.

Tetesi za vijana zilisababisha uvamizi wa bunge ambayo wakenya wamekosa imani nayo.

#TV47Matukio

Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

About TV47
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__

Connect with us:

Website: https://www.tv47.digital/
Facebook:   / tv47ke  
Twitter:   / tv47news  
Instagram:   / tv47ke  
TikTok:   / tv47_ke  
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__

Комментарии

Информация по комментариям в разработке