Nape Nnauye kuhusu njia zilizotumika kutaja Watuhumiwa wa dawa za kulevya

Описание к видео Nape Nnauye kuhusu njia zilizotumika kutaja Watuhumiwa wa dawa za kulevya

Baada ya mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda kuweka wazi majina ya baadhi ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya Tanzania, leo February 5 2017 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye katika mkutano wake na Waandishi wa habari Dodoma aliulizwa swali kuhusu mtazamo wake na kauli ya serikali kuhusu uhalali wa hatua zilizotumika kuwabainisha watuhumiwa hao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке