TWENDE NYUMBANI MWA BWANA 🔥🔥🔥🔥 PMC DANCE

Описание к видео TWENDE NYUMBANI MWA BWANA 🔥🔥🔥🔥 PMC DANCE

   • CATHOLIC AMAPIANO//MUNGU KATIKATI YET...  

SUBUKIA NATIONAL SHRINE PRAYER DAY 2023 entrance procession


Twende Nyumbani Mwa Bwana

@Basil Muyonga

Twende Nyumbani mwa Bwana  -  hoya twende nyumbani mwa Bwna hoya *2

Tuimbe tushangilie tupige vigelegele tupige makofi hoya hoya * 2

Twende tumsifu kwa nyimbo za Zaburi wakistu  hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakistu hoya

Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakstru, hoya

Twende tukacheze vinanda na vinubi wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya

Tujitayarishe kwa nyimbo zake Bwana wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке