ULIMI WANGU NA UGANDAMANE - By Antonio Charles - ZABURI, DOMINIKA YA NNE YA KWARESMA MWAKA B

Описание к видео ULIMI WANGU NA UGANDAMANE - By Antonio Charles - ZABURI, DOMINIKA YA NNE YA KWARESMA MWAKA B

Zaburi ya kuitikizana, Dominika ya 4, mwaka B.

MANENO YA KIITIKIO
Ulimi wangu na ugandamane na paa la kinywa changu, nisipokukumbuka.

1.Kando ya mito yas Babiloni, ndio tulikoketi, na kulia tulipoikumbuka Sioni. Katika miti ya mipopla iliyokuwako tulivitundika vinubi vyetu.(KIITIKIO)

2.Maana huko wale waliotuchukua mateka walitaka tuwaimbie, watesi wetu walitaka nyimbo za furaha: “Tuimbieni mojawapo ya nyimbo za Sioni!”.(KIITIKIO)

3. Tuuimbeje wimbo wa Bwana/ katika nchi ya kigeni? Nikikusahau wewe, ee Yerusalemu, mkono wangu wa kulia na ukauke.(KIITIKIO)

4. Ulimi wangu na ugandamane na paa la kinywa change, nisipokukumbuka wewe, nisipoweka Yerusalemu / juu ya furaha zangu zote.(KIITIKIO)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке