PIUS MSEKWA : WAMETIKISA KIBERITI/ NITAKUWA MUAMINIFU KWA NCHI SIO SERIKALI

Описание к видео PIUS MSEKWA : WAMETIKISA KIBERITI/ NITAKUWA MUAMINIFU KWA NCHI SIO SERIKALI

Haya ni Mahojiano ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Pius Msekwa Akizungumzia Historia yake Binafsi ya Uongozi Kutoka Mwaka 1961 alipoajiriwa kuwa Mtumishi wa Serikali

Utayafahamu Mengi Sana yanayohusu Siasa na Uongozi Kuanzia Awamu ya Kwanza Mpaka Hivi sasa

Host :

DAVID RWENYAGIRA
CHARLES WILLIAM

#MsumariWaMoto #GoodMorning #PiusMsekwa

© WASAFI MEDIA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке