UKHTY AISHA ATOA UJUMBE MZITO KWA MZEE YUSSUF BAADA YA KURUDI KWENYE TAARAB.

Описание к видео UKHTY AISHA ATOA UJUMBE MZITO KWA MZEE YUSSUF BAADA YA KURUDI KWENYE TAARAB.

Mzee Yussuf ni miongoni mwa Wasanii ambao waliacha mziki na kurudi kwa Allah ili wapate radhi zake na pepo yake, ila baada ya muda mfupi mwana muziki huyo alirudi tena kwenye mziki wake ndipo Ukhty Akaamua kitoa kama ukumbusho kwa ajili ya tukio hilo.



Kwa mawasiliano zaidi , wasiliana nasi kupitia.
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543

Комментарии

Информация по комментариям в разработке