SHEIKH ISSA Short Film.

Описание к видео SHEIKH ISSA Short Film.

Shekhe Issa Ni Kijana wa Ki Islamu anayempenda sana Mwenyezi Mungu, ni kijana mchamungu anayependa Kujifunza mengi kuhusu dini yake, lakini Udadisi wakupitiliza unamponza Sheikh Issa, alitumia kila njia Kuhakikisha anaufahamu na kitu anacho kiona au kukisikia, kiu hii Ilimpelekea Sheikh Issa kufanya vitu vilivyo ishangaza jamii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке