MSIBA: Mama Mzazi wa Zari The Boss Lady, Afariki Dunia!

Описание к видео MSIBA: Mama Mzazi wa Zari The Boss Lady, Afariki Dunia!

SUBSCRIBE NOW    / uwazi1  
Mama mzazi wa Zarinah Hassan almaarufu Zari the boss lady amefariki dunia leo julai 20, 2017.
kupitia mtandao wa kijamii wa instagram Zari amethibitisha kifo cha mama yake.

siku chache nyuma Zari alipost kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuomba watu wamuombee mama yake kwani alikuwa mgonjwa.

Mungu ampe Zari moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ambacho amepata misiba miwili kwa mfululizo, Mwezi Mei alimpoteza mzazi mwenziye Ivan Ssemwanga {Ivan Don}, na mwezi huu julai amempoteza mama yake mzazi
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihidimiwe.

Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublis.  .
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке