JE WAJUA? KUNA KIWANGO CHA NGUO ZA MITUMBA

Описание к видео JE WAJUA? KUNA KIWANGO CHA NGUO ZA MITUMBA

Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeandaa kiwango cha nguo za mitumba kwa waingizaji na watumiaji wa nguo za mitumba. Fahamu kiwango cha nguo za mitumba na madhara yake iwapo hakijafuatwa kiwango hicho.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке