#BREAKING

Описание к видео #BREAKING

#BREAKING: NYUNDO na WENZAKE WAFUNGWA MAISHA - MAWAKILI WAMESHINDWA KUTOFAUTISHA NYUMA - MBELE..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Septemba 30, 2024, imewahukumu kifungo cha maisha jela askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, pamoja na watuhumiwa wengine wawili, baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam...



💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

============================================================

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке