live DAY 3 || KUTOKA BURUNDI|MKUTANO WA INJILI NA MCH.OMARY MNYESHANI|ARESHE CHURCH BUJUMBURA|part2

Описание к видео live DAY 3 || KUTOKA BURUNDI|MKUTANO WA INJILI NA MCH.OMARY MNYESHANI|ARESHE CHURCH BUJUMBURA|part2

ARESHE CHURCH BI
DAY 3 LIVE PREACHING
Preacher: MCH.OMARY MNYESHANI
Sermon taken from the book of EXODUS 7 : 10-12
10 Basi Musa na Haruni wakamwendea Farao, wakafanya kama Bwana alivyoamuru. Haruni akaitupa fimbo yake chini mbele ya Farao na watumishi wake, nayo ikawa nyoka. 11Kisha Farao akawaita watu wenye hekima na wachawi, nao waganga wa Misri wakafanya vivyo hivyo kwa uganga wao wa siri: 12Kila mmoja akaitupa fimbo yake, ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Haruni ikameza fimbo zao.

MKUTANO WA SIKU 16 wa nyimbo za Sifa ,Maanudu na Neno la BWANA kupitia Mtumishi wake RV.OMARI MNYESHANI NA ADAM HAJI Waliye kuwa Muslim Wakaokolewa na Bwana YESU CHRISTO, sasa ivi Wanatangaza Makuu na Uponyaji wa YESU.

JE! UMEPENDA KAZI ZETU? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI, PIGA SIMU NAMBA +257 79 065 646 ao +275 62 329 602

BUJUMBURA-BURUNDI BUYENZI 2Av n4b

ARESHE CHURCH BI
[email protected]

for more info please contact us to
+257 79 065 646/ +275 62 329 602

Комментарии

Информация по комментариям в разработке