Siogopi-Moris Rusimba- official video (0688290482)

Описание к видео Siogopi-Moris Rusimba- official video (0688290482)

Katika maisha yangu niliwahi kuambiwa maneno makali yakunikatisha tamaa na rafiki yangu niliyemwamini ambaye tulikuwa tunakaa pamoja katika harakati za kutafuta maisha.
Ilikuwa ni siku moja kati ya mfurulizo wa siku ambapo niliamua kuanza kuwa na mkesha binafsi.Katika siku hiyo wakati wa jioni jamaa akasema "Rafiki yangu kunajambo nataka nikueleze kama rafiki yangu nimejaribu kukaa kimya nahisi moyo kunisuta kama nikinyamazia lakini ninakushauri punguza kiwango cha kuamini dini maana nimeshaona wengi kama wewe wengine wameonekana kupoteza mwelekeo wa maisha kwasababu huwezi kila siku kushinda kanisani akati una mambo mengi ya kufanya maisha yako hayaeleweki"

Комментарии

Информация по комментариям в разработке