Dereva Mkongwe

Описание к видео Dereva Mkongwe

Alizaliwa mnamo mwaka wa 1914 na kabla ya kenya kupata uhuru alihudumu kama dereva katika kikosi cha polisi na kile cha jeshi humu nchini, kazi iliyompa fursa ya kupata kibarua katika makao ya aliyekuwa rais wa kwanza wa taifa hili hayati mzee Jomo Kenyatta, tunamzungumzia mzee mulei nganda aliyekuwa dereva wa rais Uhuru Kenyatta nyakati zake za utotoni, wakati huo akiwa katika shule ya chekechea. Hii hapa taarifa kamili kumhusu.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке