Imani Eric Shoo ft Jastin Asifiwe & Florentina Charles- Yesu_Worship Medley (Song of Prayer)

Описание к видео Imani Eric Shoo ft Jastin Asifiwe & Florentina Charles- Yesu_Worship Medley (Song of Prayer)

Ni maombi yangu wakati unasikiliza wimbo huu, Roho Mtakatifu akakutane na hitaji la moyo wako. Ukahudumiwe. Usisahau kushare na wengine.

Produced by Imani Eric Shoo
Oweh Records
Instagram: @imaniericshoo

#yesu #imaniericshoo #worshipmedley #songofprayer

Artist: Imani Eric Shoo
Song: Yesu (Worship Medley)
Song of Prayer.

Lyrics
(--)
Mungu wa haki, Hakimu wa kweli
Ndiwe Bwana wangu Yesu
Unayebeba bonde za nchi
Ndiwe bwana wangu Yesu

Wewe Yeeeesuuu!
Mfalme Yeeeeesuuuu!
Mratibisha nyota na mwezi
Ndiwe Bwana wangu Yesu

Yeeeesuu!
Mfalme Yeeeesuuuu!
Msababisha Mbingu na Nchi eeeh Yeeeh
(--)
Tazama mimi ni Bwana
Mungu wa wote wenye mwili
Je kuna neno gumu nisiloweza?
Ni neno gani gumu nisiloweza?
Ni lipi gumu nisiloweza?

Wewe Yeeesuu Yesu
Mfalme Yeeesuuu!
Umejikaza na nguvu nyingi
Ndiwe Bwana wangu Yesu

Ewe Yeeeesuuu!
Mfalme Yeeeesuuu!
Msimamisha jua na mwezi
Ndiwe Bwana
Ewe Yesu Yesu
Mfalme Yesu
Msimamisha jua na mwezi
Umejawa na nguvu nyingi
Ndiwe Bwana wangu Yesu

Yesu Mfalme
Umeketi kwenye kiti chako cha enzi Bwana
Msimamisha jua na mwezi

Yeeesuuu!
Mfalme Yeeeesuu!
Sifa na enzi ni vyako milele
Ndiwe Bwana wangu Yesu
Wewe Yesu, Mfalme Yeeesuuuu!
Unayebeba bonde za nchi
Ndiwe Bwana wangu Yesu
Bonde za nchi, ndiwe Bwana wangu Yesu
Wewe Yeeeeesuuuu! Mfalme Yeeeesuu!

Ooh wewe Yeeesuuu!
Yeeeeesuuu!
(Ndilo jina lako)
Mfalme Yeeeeesuuuu!
(Mfalme Yeeeesu!)
Unayebeba bonde za nchi
Ndiwe Bwana wangu Yesu
(Uliacha enzi kwa ajili yetu bwana)
Yeeeesuuuu!
(Umekirimiwa jina lipitalo majina yote)
Mfalme Yeeeesuuu!
(Unayebeba)
Unayebeba
Bonde za nchi
Ndiwe Bwana wangu Yesu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке