Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Burudani Moyoni (LIVE) The Night of Joy

Описание к видео Neema Gospel Choir, AICT Chang'ombe - Burudani Moyoni (LIVE) The Night of Joy

"Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na Roho yangu imemfurahia Mungu Mwokozi wangu."
Luka 1:46 - 47

"My Soul magnifies the Lord, and my Spirit has rejoiced in God my Savior"
Luke 1:46 - 47


Pangusa machozi yako
Wipe away your tears

Futa mavumbi shangilia
Wipe off the dust and rejoice


Amekuja mtetezi wako
for your advocate has come

Msaada kwa walio na shida
Helper for those in need

Uweza wa kifalme u mabegani mwake
The government is on his shoulders

Ameibeba Amani yako wewe
He carries your peace

Uzima wa milele,
Eternal life

Furaha na tumaini
Joy and hope

Mimi nawe tuwe nayo milele
So you and I shall have it eternally


Tuwe nayo tele, Amani na uzima
Let's have abundant life and peace

Tumaini lote, Yesu ndiye yote
Full hope, Jesus is above all

Ukimpata Yesu moyoni Moyoni,moyoni mwako
If you receive Jesus in your heart


Yesu atakufanya kuwa wake yeye
Jesus will make you His child

Utasahau shida zote
you will forget all the troubles

Burudani moyoni
Joy in my heart

Sina wasiwasi Yesu yupo
i'm not worried Jesus is there

Mpokee Yesu nawe Leo moyoni
Receive Jesus in your heart

Akufanye upya moyo wako,
so he renews your heart

Uwe na Amani
and you may have peace


Audio Recorded by: Frester's Record
Video Directed by: Upendo Media
Graphics By: Titus Alfred

Contacts: Email:[email protected]
Phone: +255 (0) 766 777 288

Instagram:   / neema_gospel_choir  
Facebook:   / neemagospel  
Twitter:   / neemagospelchor  
Telegram: https://www.t.me/neemagospelchoirtz
Whatsapp: https://wa.me/message/3UP76KFADMY4D1

Комментарии

Информация по комментариям в разработке