Mili Ya Watoto Wawili Yaopolewa Kutoka Mto Molo Kaunti Ya Nakuru

Описание к видео Mili Ya Watoto Wawili Yaopolewa Kutoka Mto Molo Kaunti Ya Nakuru

Kifo Tatanishi Cha Watoto Nakuru

Mili Ya Watoto Wawili Imeopolewa Kutoka Mto Wa Molo Eneo Bunge La Rongai Kaunti Ya Nakuru , Watoto Hao Wakiwa Niwa Miaka Saba Na Kumi Wali Zama Walipokuwa Wakiogelea.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке