Mt. Kizito Makuburi - WAWATA live performance

Описание к видео Mt. Kizito Makuburi - WAWATA live performance

Palipo na Mama kuna Uhai. Palipo na Mama, Upendo, furaha, amani na Tumaini Jipya hupatikana hapo

Tar 12/2/2023 Viongozi Wa Wawata Taifa waliungana na viongozi wa wawata jimbo kuu la Dar es salaam katika Parokia Ya Mwenyeheri Anuarite - Makuburi, Kuhitimisha mkutano wao kitaifa.

KMK Makuburi tulijumuika nao Kumsifu na kumtukuza Mungu kwa nyimbo.

LIKE, SHARE & SUBSCRIBE.Channel Administered by Huru Digital
Instagram:   / hurudigital  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке