PILAU BUBU LA SUKARI | PILAU BILA NYAMA | Jinsi ya Kupika Pilau Bila Nyama

Описание к видео PILAU BUBU LA SUKARI | PILAU BILA NYAMA | Jinsi ya Kupika Pilau Bila Nyama

Je wajua jinsi ya kupika pilau bubu / pilau bila nyama? Jifunze jinsi ya kupika pilau bubu kwa njia rahisi kabisa. Hi ni njia rahisi ya kupika pilau bila nyama kwa kutumia sukari. Mahitaji yake ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;
Mchele (kilo 2)
Maji (lita 3)
Mafuta ya kupikia (400ml)
Jera / Jira (vijiko 10 vya chakula)
Vitunguu maji (3-4 vikubwa)
Nyanya (3-4 kubwa)
Vitunguu swaumu (vijiko 3 vya chakula)
Soya sauce (vijiko 2 vya chakula)
Chumvi (vijiko 2 na nusu vya chakula)
Sukari (vijiko 5 vya chakula)
Mixed Masala (vijiko 2 vya chakula)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке