ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI

Описание к видео ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI

Kilimo cha miti ni fursa nzuri sana ya kuwekeza hapa nchini kwetu. Kuna bidhaa nyingi ambazo zinategemea kilimo cha miti hivyo upatikanaji wa soko sio changamto kubwa. Ni vyema kwa kila mtu ambaye angependa kujikita kwenye biashara hii kupata elimu ya kutosha juu yake ili kujiandaa na changamoto mbali mbali ambazo zinaweza kutokea.

Video hii inakupa tu maelezo ya awali na experience yangu katika biashara hii. Ni vyema ukaendelea kupata elimu zaidi kupitia taasisi kama Tanzania Forestry Society, Wizara ya Maliasili na Utalii nk.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке