KWANINI NI LAZIMA UFIKIRI ZAIDI YA KUAJIRIWA - ANTHONY LUVANDA

Описание к видео KWANINI NI LAZIMA UFIKIRI ZAIDI YA KUAJIRIWA - ANTHONY LUVANDA

Katika nyakati tulizo nazo tatizo la ajira ni kubwa sana, sio tu nchini Tanzania bali Afrika na dunia kwa Ujumla. Katika Video hii Mr. Anthony Luvanda ana kupa mbinu za kutengeneza mtazamo wa kibishara ili kuweza kujiajiri na kutimiza malengo yako.
Video Credits: Youth National Assembly.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке