Amenifanyia Amani [REGGAE COVER] - TuneDem Band

Описание к видео Amenifanyia Amani [REGGAE COVER] - TuneDem Band

Song : Amenifanyia Amani [Reggae Cover]
Cover Artist : TuneDem Band
Original Artist : Paul Clement
Audio : Taji Music
Video : True Works Media

[ We do NOT own the rights to the lyrics in this song. Its a Cover]


Nijapopita, kwenye bonde la mauti
Sitaogopa, maana wewe uko na mi
Gongo lako na fimbo yako,
eeh bwana vyanifariji
Wanifanyia amani.
Umesema, ya kwamba hutaniacha
Sababu mimi, ni pone ya jicho lako
Bwana wanitazama, asubuhi, mchana, jioni
Eeeeh bwana, kweli mungu wa Baraka

Amenifanyia amani,
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani
Amenifanyia amani,
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani

Amebadilisha, uchungu wangu
Umekuwa, ni furaha yangu
Ooooh huyu yesu, amenipa furaha
Kanifanyia amani
Amebadilisha, machozi yangu
Yamekuwa, ni furaha yangu
Ooooh huyu yesu, amenipaa furaha
Kanifanyia amani
Mungu wa Baraka

Amenifanyia amani,
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani
Amenifanyia amani,
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani

Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii
Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu
Wewe waniganga moyo, nipatapo uchungu
Wanifanyia amani
Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii
Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu
Wewe waniganga moyo, nipatapo uchungu
Wanifanyia amani

Amenifanyia furaha
Amenifanyia furaha
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia furaha

Amenifanyia furaha
Amenifanyia furaha
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia furaha

Комментарии

Информация по комментариям в разработке