Mchamungu Aliyekileta Kiti cha Balqis mbele ya Nabii Suleiman, huyu hapa. Sh. Nurdin Kishki

Описание к видео Mchamungu Aliyekileta Kiti cha Balqis mbele ya Nabii Suleiman, huyu hapa. Sh. Nurdin Kishki

Baada ya Nabii Suleiman kutangaza kwamba ni nani atakae kileta Kiti cha Malikia Balqis, mmoja katika Majini aliahidi kukileta mara Suleiman akimaliza kuhukumu, lakini Mchamungu alimpiku Jini kwa kukileta kwa mpepeso wa jicho tu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке