WATOTO WAMWAGIWA FEDHA WAKIIMBA KWA UMAHIRI SHAIRI LA UHURU, DIRA YA TAIFA

Описание к видео WATOTO WAMWAGIWA FEDHA WAKIIMBA KWA UMAHIRI SHAIRI LA UHURU, DIRA YA TAIFA

KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Watoto kutoka Zanzibar na Tanzania Bara wakighani kwa umahiri shairi wakati uzinduzi mchakato wa ukusanyaji maoni kutoka kwa wananchi kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Rais Samia alifanya uzinduzi huo wakati wa Maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Комментарии

Информация по комментариям в разработке