Lissu Afunguka Mazito Shambulio la Septemba 2017, Kuwaburuza Mahakamani Kampuni ya Tigo na Serikali

Описание к видео Lissu Afunguka Mazito Shambulio la Septemba 2017, Kuwaburuza Mahakamani Kampuni ya Tigo na Serikali

Akiongea na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2024, Tundu Lissu ametoa taarifa kuwa kesi inayoendelea London imeweza kuonesha kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilitoa mawasiliano yake kwa serikali kuelekea tukio la yeye kupigwa risasi.


Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке