MFAHAMU LOVE WA JUA KALI "NIKO SINGLE, NAWAKATAA, SITAMANI SHEPU, MUACHE KUNIANGALIA KAMA MDUDU"

Описание к видео MFAHAMU LOVE WA JUA KALI "NIKO SINGLE, NAWAKATAA, SITAMANI SHEPU, MUACHE KUNIANGALIA KAMA MDUDU"

Anaitwa Hellen, jina lake la kuigiza ni Love kupitia tamthilia ya Jua Kali ndioameanza kufahamika na kuonekana, Leo amezungumza na AyoTV na sehemu ya mambo ameshare na sisini back ground ya maisha yake ikiwemo ishu za mahusiano yake na mengine, PLAY kutazama Interview

Комментарии

Информация по комментариям в разработке