Sherehe za Utamaduni wa kisiwani Lamu zimeng'oa nanga

Описание к видео Sherehe za Utamaduni wa kisiwani Lamu zimeng'oa nanga

Sherehe za kitamaduni za Lamu zimeng'oa nanga katika kaunti hiyo huku maelfu ya wageni wakiwemo watalii wakihudhuria. Sherehe hizi za kila mwaka zinasherehekea utamaduni wa kisiwa cha Lamu vikiwemo vyakula, mavazi na tamaduni nyinginezo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке