Aliyeua mumewe bila kukusudia aachiwa huru

Описание к видео Aliyeua mumewe bila kukusudia aachiwa huru

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemwachia huru Margaret Sinkamba mkazi wa Kijiji cha Mpui wilaya ya Momba mkoani Songwe aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la kumuua mumewe Alfred Siwiti bila kukusudia kutokana na ugomvi wa kifamilia.

#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO

Комментарии

Информация по комментариям в разработке