Abednego Sungo __Ameen (Official video)

Описание к видео Abednego Sungo __Ameen (Official video)

Zaburi 150:6
:: Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana Haleluya.

Ujumbe huu ukakupe Amani ya moyo wako na ukarejeshe kile ambacho kimepotea,, na ukakupe maarifa ya kutambua ya kwamba umeumbwa duniani Ili kumuabudu yeye na kumtukuza, sifa na utukufu na heshima ni vyake Ameen..🙌🙏

Director by Lummy .

Producer by Maro touch.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке