DC KISARAWE ALIA NA WAMAMA WAJANE/AZINDUA MRADI WA KUKU WENYE HIPSI/KISARAWE KUMEKUCHA

Описание к видео DC KISARAWE ALIA NA WAMAMA WAJANE/AZINDUA MRADI WA KUKU WENYE HIPSI/KISARAWE KUMEKUCHA

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh PETRO MAGOTI mapema hapo jana amezindua ujenzi wa Mradi wa Banda la kuku la wa mama wajane wa wilaya ya kisarawe kufuga kuku miamoja wa kienyeji ili kujikwamua kiuchumi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке