Musalia Mudavadi aongezewa majukumu zaidi

Описание к видео Musalia Mudavadi aongezewa majukumu zaidi

Kwa mwaka mmoja ambapo Musalia Mudavadi amekuwa mkuu wa mawaziri, wakenya wachache walifahamu wajibu wake na hata baadhi walidhalilisha ofisi hiyo, huku kura za maoni zikipinga kwa wingi kuwepo kwa nafasi yake. lakini sasa, Mudavadi amepata nafasi kubwa katika baraza la mawaziri baada ya Rais William Ruto kumuongezea majukumu ya wizara ya maswala ya kigeni.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке