Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne

Описание к видео Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne

"Mfano mtu amehukumiwa kwenye kesi ya mauaji amehukumiwa kunyongwa. Na watu wote wanajua kwamba mtu akiua atanyogwa lakini si mpaka Leo watu wanaendelea kuua?- Capt Ibrahimu Bendera, Wakili

"Dhumuni kubwa ilikuwa ni kuwasaidia mawakili wachanga na hata sasa hivi hiyo nia ninayo na ninaendelea kuwasaidia"- Capt Ibrahimu Bendera, Wakili.

"Kuhusu fidia, mara nyingi hakuna mtu ambaye hana mali yake. Wengine walikuwa wafanyakazi kuna askari Magereza na Wa Jeshi la Wananchi. Kwahiyo kuna namna nyingi ya kupata hiyo hela"- Capt Ibrahimu Bendera, Wakili

Комментарии

Информация по комментариям в разработке