Jinsi ya kutengeneza lambalamba laini za ladha mbalimbali🍇🍓 za maji/water flavor pops

Описание к видео Jinsi ya kutengeneza lambalamba laini za ladha mbalimbali🍇🍓 za maji/water flavor pops

Aisrkim za base ya maji
mahitaji
Nusu lita maji
Nusu na 1/8 kikombe sukari
1 kijiko kikubwa cmc
Ladha kiasi
Rangi kiasi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке