Fountain Gate 3-1 KMC FC | Highlights | NBC Premier League 21/10/2024

Описание к видео Fountain Gate 3-1 KMC FC | Highlights | NBC Premier League 21/10/2024

Fountain Gate FC imeendeleza moto, safari hii ikiwawashia KMC FC kwa kichapo cha mabao 3-1 mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Tanzanite Kwaraa mjini Babati,

Magoli ya Fountain Gate yamefungwa na Dickson Ambundo, Seleman Mwalimu na William Edgar huku la kufutia machozi kwa KMC likifungwa na Andrew Vicent Chikupe.

Katika mchezo huu pia KMC walipata pigo kwa nyota wake Ibrahim Elias aliyeingia kutokea benchi, kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 40.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке