Uwekaji Jiwe la Msingi na Ufunguzi mtaa wa Amani(SAGAYO)

Описание к видео Uwekaji Jiwe la Msingi na Ufunguzi mtaa wa Amani(SAGAYO)

Mkuu wa KKKT Askofu Dr Gehaz Malasusa akiwa na Mh Baba Askofu Jacob Mameo ole paul waongoza uwekaji wa jiwe la msingi la mtaa wa Amani zamani ukijulikana kama Mtaa wa Sagayo ulioko Jimbo la Morogoro ukisimamiwa na Usharika wa Sokoine. Familia ya Mwalukasa waonesha mfano katika ujenzi wa nyumba hiyo ya kanisa na kulikabidhi kanisa ikiwa ni huduma yao kwa Mungu. Mkuu wa kanisa amepongeza na kuwasihi wakristo kuiga mfano huo ili Baraka za Bwana ziwafikie.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке