WOOW! BARAKA MPENJA ASHINDANA LIVE KUTANGAZA MPIRA NA MTOTO ADIL SAAD ‘ADIL YANGA’/AFUNIKWA VIBAYA

Описание к видео WOOW! BARAKA MPENJA ASHINDANA LIVE KUTANGAZA MPIRA NA MTOTO ADIL SAAD ‘ADIL YANGA’/AFUNIKWA VIBAYA

Hatmaye Mtangazaji Mwandamizi wa soka wa Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi, ametimiza ahadi yake ya kukutana LIVE na Mtoto shabiki wa Yanga, Adil Saad Maarufu ‘Adil Yanga’ ambaye ana kipaji kikubwa cha Kutangaza mpira wa Miguu.

Adil naye ametimiza ndoto ya kuonana na shujaa wake na mtu wa mfano kwake (Role Model), Baraka Mpenja.

Mpenja TV imewakutanisha wawili hao Februari 5, 2022 muda mfupi baada ya mechi ya ligi kuu ya NBC kati ya Yanga na Mbeya City kumalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam.

Enjoy mahojiano haya……

#BarakaMpenjaVsAdilYanga #AdilSaad #YangaSC #tff #tplb #MpenjaTV

Комментарии

Информация по комментариям в разработке