Rais Ruto atia saini mswada kuhusu IEBC kuwa sheria

Описание к видео Rais Ruto atia saini mswada kuhusu IEBC kuwa sheria

Safari ya kuwateua makamishna wapya watakaohudumu kwenye tume ya uchaguzi nchini IEBC imeanza baada ya rais William Ruto kutia saini mswada wa IEBC kuwa sheria. Rais Ruto akisema kuwa kutiwa saini kwa mswada huu kuwa sheria sasa kunaanza safari ya mageuzi kama ilivyopendekezwa kwenye ripoti ya maridhiano

Комментарии

Информация по комментариям в разработке