Sahau-Neema Cizungu

Описание к видео Sahau-Neema Cizungu

Sahau-Neema Cizungu
marafiki zangu kubarikiwa kupitia wimbo huu '
Nimatumaini yangu kuwa wimbo huu utafanyika baraka kwako na jamii inayo kuzunguka

Roho mtakatifu akuhudumie katika jina la yesu kristo
usisahau ku subscribe
like na comment

pia wasiliana nami kupitia #book#now255672555095
nashukuru sana wote mnaozidi kuombea huduma yangu nakunisapoti ki fedha ili kuwafikia maelfu ya watu kwa njia ya mahubiri kupitia nyimbo hizi ,nimekuwa nikipigiwa simu nyingi za ushuhuda wa watu wengi wanao okoka kupitia nyimbo hizi

na wengine wamepokea uponyaji kutoka ma hospitali na vitanda vya magonjwa kupitia nyimbo hizi
pia hata Mungu mbinguni anafurahi tunapo msifu kwa roho na kweli

Комментарии

Информация по комментариям в разработке