MSAMBAA WA MOROGORO AJIBU TAMBO ZA OSAMA ARABI WA MTWARA PAMBANO LA "HOMA YA SGR"OKTOBA 26,2024

Описание к видео MSAMBAA WA MOROGORO AJIBU TAMBO ZA OSAMA ARABI WA MTWARA PAMBANO LA "HOMA YA SGR"OKTOBA 26,2024

Bondia wa Ngumi Za Kulipwa Ally Msambaa wa morogoro Amejibu Tambo Za Mpinzani Wake Osama Arabi Kuelekea Kwenye Pambano La Homa Ya SGR Mkoani Humo.

Akizungumza Mapema Hii Leo Mkoani Morogoro Wakati Akiendelea Na Hamasa Ya Pambano Lao Amesema Mpizani Wake Atake Asitake Kipigo Lazma ata akiweka kambi nje ya nchi Tko Inamuhusu siku Hiyo.

Kwaupande Wao Mashabiki Na Wadau Wa Bondia Huyo Wamesema Hakuna Bondia Aliyewai Kurudi Na Ushindi Ndani Ya Mkoa Wao Hivyo Osama Arabi atapigwa kipigo cha SGR chenye Kasi Kama Upepo kwenye Pambano Lao.

Pambano Hilo Lenye Lengo La Kuunga Mkono Juhudi Za Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Katika Kutambua Mchango Wa Maendeleo Ya Nchi Kupitia Mchezo Wa Masumbwi Tanzania huku Watanzania Kushuhudia Burudani Ya Aina Yake Siku Hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке