Founders Safari S01ep05 | Simon Mbangalukela | Founder of Lishe360

Описание к видео Founders Safari S01ep05 | Simon Mbangalukela | Founder of Lishe360

Katika episode hii, host wetu mpya Lisa anazungumza na Simon Mbangalukela, mwanzilishi wa Lishe 360. Jifunze jinsi Simon alivyoacha masomo chuo kikuu na kuwa mjasiriamali aliyefanikiwa!

Lishe 360 ni kampuni inayoongoza katika uwanja wa lishe nchini Tanzania yenye dhamira ya kutengeneza vyakula vyenye afya kwa watoto wachanga na kutoa rasilimali mtandaoni kuhusu lishe ya watoto, mipango ya milo, na ushauri.

Kwa kuwa na jumuiya ya mtandaoni yenye zaidi ya watu 150,000 na jumla ya bidhaa 15,000 za vyakula zilzouzwa, Lishe 360 ina dhamira ya kuboresha lishe ya watoto barani Afrika. Sikiliza ili ujifunze zaidi kuhusu safari ya Simon, changamoto alizozishinda, na ndoto zake za siku za usoni. Wasiliana na Simon:   / simonmbangalukela  

Bonyeza like, subscribe na share ili kusikiliza safari zaidi. Kwa maelezo zaidi: https://linktr.ee/founderstanzania

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

In this episode, our new host Lisa sits down with Simon Mbangalukela, the visionary founder of Lishe 360. Learn how Simon went from being a university dropout to leading a successful social enterprise!

Lishe360 is a leading nutrition company in Tanzania dedicated to producing healthy baby food products and offering comprehensive online child nutrition resources, meal plans, and consultations.

With an online community of over 150,000 people and 15,000 units of food products sold, Lishe 360 is on a mission to revolutionize child nutrition in Africa. Tune in to learn more about Simon's journey, the challenges he overcame, and his vision for the future. Contact Simon:   / simonmbangalukela  

Like, subscribe, and share to listen to more safaris. For more: https://linktr.ee/founderstanzania


Disclaimer: The views expressed in this podcast are those of the guests and do not necessarily reflect the opinions of the podcast host or the production team.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке