JAMBO LA KUFANYA SIMU ikipoteza INTERNET | ANDROID | S01E11 |

Описание к видео JAMBO LA KUFANYA SIMU ikipoteza INTERNET | ANDROID | S01E11 |

Simu inaweza kupoteza intanet kutokana na sababu kuu mbili
Watoa huduma kushindwa kuiunganisha simu na mtandao au
Simu ya yenyewe kushindwa kupokea internet

1.Watoa huduma hushindwa kutuunganisha na mtandao
kutokana matatizo ya kufundi ndani network ambayo yanaweza yakasababisha kukosekana kwa internet, lakini pia
Kutokutabuliwa kwa simu ndani ya network husika au kutokukidhi vigezo na mashari vya kuiwezesha kupatiwa huduma hiyo kama kutokuwa na kifurushi au kutokuwa na vocha
Tatizo la kiufundi kwa upande wa watoa huduma mara nyingi huwa la muda mfupi na hushungulikiwa na wao wenyewe unaweza kuligundua tazizo hili kwa kujaribu kutumia network za watoa hutuma wengine
Mfano hama tigo-voda-airtel-halotel

2.Simu hushindwa kupata internet kutokana na
Mpangilio wa setting (internet configuration),
OS Operating System ndio yenye switch ya kuwasha na kuzima internet swich data on and switch data off inaweza kuwa bize program nyingi zinatumika au kuzidiwa majukumu kiasi cha kushindwa kuwasha data au inawezakana os kuwa imeharibika
Tatizo hili linatatuliwa kwa kufunga program zinakuwa zikiendeleakufanya kazi
Kuizima na kuiwasha tena au kuRestore/ kuflash
Kabla au baadaya ku Restore/kuflash simu yako agalia mpangilio wa setting za intenet kama umekaa unavyotakiwa mpangilio ya setting kama sawa haiwezi kupokea internet
Hii ndio sehemu ya msingi ambayo kila mtumia internet anapaswa kuiangalia kabla ya matatizo mengine yote
Smartphone nyingi zinauwezo wakuset configuration zake zenyewe mara tu uwekapo line na kuwasha data lakini katika mazingira tofauti kama kuiflash/kurestore simu kubadilisha line hushidwa kujiset yeyewe na tunapaswa kuziset
Tunaset nini katika configararion?tunaset APN Access point name
Watoa huduma wanaweza kutuma configararion message za kufanya setting za APN access point names
Muda mwingine message inaweza isitumwe au kutumwa na ikashindwa kufanya kufigaration
unapaswa kuset APN Acess point Name wewe mwenyewe
APN inasetiwa vipi?
Nenda kwenye
Settings
//wireless &networks //more
//cellular network
//Access Point Names
APNs

Ndani ya APNs kunakuwa na list ya configuration za mitandao mbalimbali Kama utakuta jina la network husika katika list weka ON
Kama halipona au hamna chochote tengeneza APN (new apn)
Sehemu ya Name unaweza andika jina la mtandao (mfano tigo,Vodacom,Airtel,internet au jina lolote)
Sehemu ya APN unaweza andika jina la mtandao (mfano tigo,Vodacom,Airtel,internet au neno lolote)
Baada ya kujaza sehemu hizo mbili muhimu save APN yako
Rudi kwenye list ya APNs hakikisha Apn mpya uliyoitengeneza iko ON




Napatika Mitandao ya Kijamii
Instagram
  / naitwai  
Twitter
  / naitwai  
Gmail
[email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке