Chozi la heri: UCHAMBUZI SURA YA PILI

Описание к видео Chozi la heri: UCHAMBUZI SURA YA PILI

Riwaya ya chozi la heri ni riwaya ambayo imemulika jamii ya sasa hasa katika inchi zinazoendelea ambazo demokrasia ni changa na uchumu ambao unaendelea kukua. Riwaya hii imeangazia masaibu ambayo wananchi katika nchi hizi hupitia katika maisha yao hasa wakati wa uchaguzi. Katika chaneli hii tunachambua riwaya hii kwa njia ambayo ni mwakaka hivi kwamba utaelewa riwaya hii kwa urahis sana. Ungana nasi ili tukupakulie utamu wa riwaya hii kwa starehe zako bila wasiwasi. Usisahu kutazama sura ya kwanza. Utamu wa hadithi ni kuelewa kutoka mwanzo hadi mwisho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке