Bonanza la maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wilayani Buhigwe

Описание к видео Bonanza la maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wilayani Buhigwe

Maandalizi ya kuupokea Mwenge wa uhuru yamefanyika leo tarehe 29-07-2023 katika wilaya ya Buhigwe. Maandalizi hayo yalipambwa na Bonanza lililosheheni michezo mbalimbali ili kuwahamasisha wananchi waweze kujitokeza kwa wingi siku Mwenge utakapowasili wilayani hapo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке