Shuhudia UUNGWANA wa Rais wa Zanzibar, DKT HUSSEIN ALI MWINYI

Описание к видео Shuhudia UUNGWANA wa Rais wa Zanzibar, DKT HUSSEIN ALI MWINYI

Mapema Asubuhi kabla ya kurejea Zanzibar, Akiwa jijini Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alienda kutoa Mkono wa Pole kwa Familia ya Bi.Yasmin Aloo waliyoondokewa na Shangazi yao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке