Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki

Описание к видео Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki

Je kuna nyakati huwa huyaelewielewi mahusiano yako? Je unahisi mpenzi wako ni mtu wa kubadilikabadilika? Unagunduaje kama uko kwenye mahusiano feki? Kumbuka mahusiano feki hayakupeleki sehemu, yanakupotezea muda tu. Ungana nami nikusaidie kufahamu dalili 5 za kukuonyesha kuwa upo kwenye mahusiano feki.
#DrChrisMauki#Dalili#Mahusiano

Комментарии

Информация по комментариям в разработке