MASANJA MKANDAMIZAJI ASHUHUDIA UTEKEREZWAJI WA MIRADI MBALIMBALI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA

Описание к видео MASANJA MKANDAMIZAJI ASHUHUDIA UTEKEREZWAJI WA MIRADI MBALIMBALI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA

Masanja Mkandamizaji ametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Chunya na kushuhudia miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ikiwa ni pamoja na uwanja mkubwa na wakisasa wa Michezo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке