Kutana na Lucy Wangari, 'Daktari wa Vitunguu' Kenya

Описание к видео Kutana na Lucy Wangari, 'Daktari wa Vitunguu' Kenya

Baada ya kugundua kuwa wakulima wadogo walikuwa wakipata hasara kwa kukosa maarifa ya kilimo, Lucy Wangari aliacha kazi katika kampuni kubwa ya kilimo huko Kiambu, Kenya, na kuanzisha shirika lake la ushauri kwa wakulima, ''Onion Doctor'', maana yake, ''Daktari wa Vitunguu''. Kwa hatua hiyo ameleta mafanikio katika sekta ya uzalishaji wa chakula na kuunda ajira. Ama kweli akili ni mali. #Kurunzi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке