Miss Mkwawa University 2022 / Role Model wangu Flavian Matata/Nampenda Mc Gara B wa Juakali

Описание к видео Miss Mkwawa University 2022 / Role Model wangu Flavian Matata/Nampenda Mc Gara B wa Juakali

Yote aliyofunguka Mshindi wa Miss Mkwawa University (MUCE) 2022 Utayasikia ndani ya video hii.

Kutoka Chuo Kikuu Kishirirki cha Elimu Mkwawa MUCE ambacho ni Tawi la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Tanzania UDSM.

Chuo cha Mkwawa kinapatikana Mkoa wa Iringa Tanzania Wilaya ya Iringa Mjini kata ya Mkwawa, ni chuo ambacho sehemu kubwa ya kozi zake ni Ualimu yaani Barchelor Of Eductaion , Barchelor of science with Education, Barchelor of education in science/arts.

News Feed
Ruby | Msanii wa BongoFleva Ruby ametrend Mitandaoni kutokana na kile alichopost akisema "Bora nife nijipumzishe na haya mambo"

Flaviana Matata ameandika Ujumbe akisema kuwa kama kuna Mtu wa Karibu na Ruby basi asikae mbali nae before its too late.

ENDELEA KUTUFUATILIA......TEAM "FOCUS DIGITO"

USIKOSE VIDEO MPYA INAYOFUATA BAADA YA HII.....

Yote HAYA ni Habari ndani ya Focus Digito YouTube Channel.
SUBSCRIBE TO SHOW YOUR LOVE.
(Consider Subscribing So That You Wont Miss Other Life Changing Videos Like This)

PRESENTER:
Focus Digito Studios

FOLLOW US:
INSTAGRAM:   / focus_digito  

GOOGLE: https://tiny.cc/4uc3mz

YOUTUBE: https://bit.ly/2wM119u

TWITTER:   / focusdigito  

KEEP IN TOUCH WITH US

WE LOVE YOU
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Chanell za YouTube Zinazotembelewa sana Tanzania ni Diamond Platnumz, Millard Ayo (MillardAyo AYO TV), Global Tv Online, Harmonize, Rayvanny, Zuchu, Alikiba, Nandy the African Princes

#Exclusive #MissMkwawa #Udsm

Комментарии

Информация по комментариям в разработке