Ev. Gilbert - Unastahili (Official Video)

Описание к видео Ev. Gilbert - Unastahili (Official Video)

Wimbo huu wa Unastahil unaeleza Jinsi gani Yesu kristo anatupenda akaja duniani kututoa katika Ufalme wa Giza na kutuleta katika ufalme wa nuru kwa kusulubiwa...Umenunuliwa kwa Damu Yake Yesu.

Wakolosai 1:12-14 Mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.

Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;

Ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;

Shallom Wapedwa wa Bwana Mungu. Nawafurahia sana piah nawapenda Sana ninayofuraha kwenu nyote kuwakaribisha kutizama video yetu mpya ya wimbo wangu unaoitwa Unastahil. #Unastahil# #gospel music.

Nisaidie piah kusambaza upendo huu kwa watu mbali mbali ili waweze kushiriki Baraka hii.

Song Unastahil EvGilbert
info.0746866853)
Instagram @Ministergilbertedward
Facebook@ministergilbertedward
location Arusha
Link on bio

#love #great #jesus

Sapoters 👇👇

MUSICIAN
prod:SKY MUSIC
video production:INNO SHAUDO
song writter:Minster Gilbert Edward
dancers:Dada lidya, Anna Mungu awabariki Sanaa Dada zangu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке