TAZAMA MAMA MPANGO NA KARDINAL PENGO WASHIRIKI ZOZEZI LA KUKATA KEKI KWA WAIMALISHWA WA KIPAIMARA

Описание к видео TAZAMA MAMA MPANGO NA KARDINAL PENGO WASHIRIKI ZOZEZI LA KUKATA KEKI KWA WAIMALISHWA WA KIPAIMARA

•Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Mama Jenisia Mpango ameshiriki zoezi la kukata keki na kulisha baadhi ya Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Kristo Mchungaji Mwema Kimanga Wakati wa Tafrija baada ya kushiriki Adhimisho Misa Takatifu ya Utolewaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Watoto 105 katika Parokia ya Kristo Mchungaji Mwema Kimanga Jimbo kuu la Dar es salaam.

Misa Imedhimishwa na Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo Askofu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾♥️

Комментарии

Информация по комментариям в разработке