Ustadh Iddy Shaaban ( Uncle Iddy ) - Quran Tajweed- # Yaumul Ally Badawy ( Masange Day 2019 ) 14

Описание к видео Ustadh Iddy Shaaban ( Uncle Iddy ) - Quran Tajweed- # Yaumul Ally Badawy ( Masange Day 2019 ) 14

Usomaji Wa Quran Tukufu Kwa Njia Ya Tajweed Katika Maafali Ya Ally Badawy Day ( Masange Day 2019 ) Chini Ya Uongozi Wa Dr. Ramadhani Sungu. Hii ni Maafali Ya 14 Ikifanyika Katika Kata Ya Masange Wilaya ya Kondoa Mkoa Wa Dodoma. Ni Mkusanyiko Wa Wanafunzi Waliosoma kwa DR. SUNGU Na Baadhi Kidogo Ambao Sio Wanafunzi Kutoka Tanzania Na Nje Ya Tanzania Wakijumuika Kuadhimisha Maafali Hayo.
Pia Huhudhuriwa Na Viongozi Mbalimbali Wakiserikali Na Wakidini Lengo Ni Kujifunza Kile Kinachofanyima Kwa DR. SUNGU MUNGU Mbariki Sheikh Letu DR RAMADHANI M. SUNGU Umpe Umri Mrefu Wenye Afya Tele Tuweze Kupata Matunda Zaidi Kupitia Yeye. ( ALLAHUMMA AAMIYN)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке